Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, kweli nachelewa ila unajua kinachonichelewesha🤣🤣🤣🤣 Sijui unachelewa nini jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, kweli nachelewa ila unajua kinachonichelewesha🤣🤣🤣🤣 Sijui unachelewa nini jamani
Unavaa size Gani🤣🤣🤣🤣 Sijui unachelewa nini jamani
Hata najua?🤣🤣🥱Unavaa size Gani
Haya chombo ya mtu🙌Hahahaha, kweli nachelewa ila unajua kinachonichelewesha
Hahahaha, chombo ya Nani? Chombo Yako hiiHaya chombo ya mtu🙌
Nilishasurrender aisee🙌Hahahaha, chombo ya Nani? Chombo Yako hii
Haaa, usifanye hivyoo,mbn bado mapema?Nilishasurrender aisee🙌
Utopolo...Kabla ya kuja GSM Ubingwa aliochukua Yanga hadi kuwazidi Makolo nani alikuwa anaidhamini?
Ni kweli kama mwamuzi ni kaa yule wa namungo!?Simba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.
Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
KolokwinyoUtopolo...
Nyuma mwiko...Kolokwinyo
Lete msimamoNyuma mwiko...