fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Mashabiki na wanachama wa Yanga acheni kusubiri dezo, kanunueni tiketi za mchezo wa Al Hilal, nimeambiwa trend ya ununuzi wa tiketi sio nzuri na imebakia siku moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
za klabu mama hanunuiNgoja Mama apate fununu. Atawanunulia tiketi ili apate KIKI.
Navyo sikia ni kwamba kipara bado yupo Dar anasubiri mpunga wake wa termination of contract.Bado tuna huzuni ya kuondoka Gamondi.
Mkataba unavyonjwa kwa makubaliano huwa hamna malipo ni tiketi tu ya kurudi kwenu,gamondi alishaondoka broNavyo sikia ni kwamba kipara bado yupo Dar anasubiri mpunga wake wa termination of contract.
Uongozi wa Klabu ulimwambia awape muda kuna hela wanaisikilizia.
Maana kuvunja mkataba ambao miezi mitano iliyopita Club ili-extend kwa kumboreshea maslahi haiwezi kuwa hela ya kitoto.
Na ugumu unakuja zaidi pale ambapo katika muda huo huo unaotaka kukusanya vibunda ili kumvunjia mkataba, unalazimika tena ukusanye vibunda vingine zaidi kwa ajili ya kumsainisha mkataba kocha mpya.
Kwa hiyo hapo uongozi ni kama walimuita Kipara na kufanya mazungumzo busara itumike yafanyike makubaliano ya lini pesa yake alipwe.
Mbona okrah hamkukubaliana mvunje bure? Mpaka akawapeleka fifa kuwashitaki? Acha ujuaji kama yanga wamevunja mkataba wenyewe inabidi wamlipe gamondi hakuna namna.Mkataba unavyonjwa kwa makubaliano huwa hamna malipo ni tiketi tu ya kurudi kwenu,gamondi alishaondoka bro
Okra ilikuwa ni kuvunja mkataba bila hiyati yake,na hivyo alistahili kulipwaMbona okrah hamkukubaliana mvunje bure? Mpaka akawapeleka fifa kuwashitaki? Acha ujuaji kama yanga wamevunja mkataba wenyewe inabidi wamlipe gamondi hakuna namna.
Tff waliposema gamond akilipwa pesa yake wanakata juu kwa juu milioni 2 yao ya faini waliyompiga gamondi walikuwa wanamaanisha hela gani?Okra ilikuwa ni kuvunja mkataba bila hiyati yake,na hivyo alistahili kulipwa
Kwenye kumfuta kazi kipara Yanga ilichemka sana kumeigharimu timu na sijui kama huyu kocha mpya atakuwa bora binafsi sina imani nae.Navyo sikia ni kwamba kipara bado yupo Dar anasubiri mpunga wake wa termination of contract.
Uongozi wa Klabu ulimwambia awape muda kuna hela wanaisikilizia.
Maana kuvunja mkataba ambao miezi mitano iliyopita Club ili-extend kwa kumboreshea maslahi haiwezi kuwa hela ya kitoto.
Na ugumu unakuja zaidi pale ambapo katika muda huo huo unaotaka kukusanya vibunda ili kumvunjia mkataba, unalazimika tena ukusanye vibunda vingine zaidi kwa ajili ya kumsainisha mkataba kocha mpya.
Kwa hiyo hapo uongozi ni kama walimuita Kipara na kufanya mazungumzo busara itumike yafanyike makubaliano ya lini pesa yake alipwe.
Tuombe ishinde maana tukipoteza huo mchezo huzuni yangu itazidi mno. Walifanya maamuzi ya haraka ambayo sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kufanya hivyo.Huu ni msimu wa 3 sijawahi kukosa mechi yoyote ya Yanga ya kimataifa hapa nyumbani ila hii sitoenda, uamuzi wa kumfuta kazi Gamondi umenikera sana.
Timu ikishinda sawa, isiposhinda sawa pia.
Binafsi naweza nikawa natofautiana na wewe au na wengi ambao mnaona kufukuzwa kwa Gamondi haikuwa jambo sahihi.Huu ni msimu wa 3 sijawahi kukosa mechi yoyote ya Yanga ya kimataifa hapa nyumbani ila hii sitoenda, uamuzi wa kumfuta kazi Gamondi umenikera sana.
Timu ikishinda sawa, isiposhinda sawa pia.
Nimemsikia akisema siku 6 hazitoshi kwa kocha yeyote yule duniani.Kwenye kumfuta kazi kipara Yanga ilichemka sana kumeigharimu timu na sijui kama huyu kocha mpya atakuwa bora binafsi sina imani nae.
Tena mimi nataka tupoteze sasa, viongozi wajifunze kufanya maamuzi kwa busara.Tuombe ishinde maana tukipoteza huo mchezo huzuni yangu itazidi mno. Walifanya maamuzi ya haraka ambayo sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kufanya hivyo.