Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

Pa jobe tuliambiwa ni bonge la straika balaa😂!!,Kwani amekuaga?.
Perfect Chikwende alikuaga wewe?, Saido alikuwaga wewe?. Tatizo lako unamuwaza AZIZI let sana baada ya Mobetto kukunyang'anya.😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…