Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

1. Khalid Aucho
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
4. Djigui Diarra
5. Yao Kwasi
6. Aziz K
7. Pacome Zouzou

Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
Hivi yule Mwenyekiti wako ulifanikiwa kumuondoa kwenye kiti chake? Au ulikuwa unamtishia tu mtu mzima nyau?
 
Mpe Bw. Mangungu kombora lingine hadi ajiuzulu kama ulivyosema mwenyewe
 
Back
Top Bottom