GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi yule Mwenyekiti wako ulifanikiwa kumuondoa kwenye kiti chake? Au ulikuwa unamtishia tu mtu mzima nyau?1. Khalid Aucho
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
4. Djigui Diarra
5. Yao Kwasi
6. Aziz K
7. Pacome Zouzou
Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
Ni rahisi sana kumgundua muda wake wa kwenda kuchukua dawa ukikaribia.Mjomba ake mwasibu.....
Atakuwa amekula nganda huyo wala hajitambui nguruwe aka kiti moto sports clubKaka, kaka umetumwa? Hao hatuwaachi ng'o. Tunajua madunduka mnawatolea macho, mtaishia kunawa, kula hamli.
ππimekaa kisomi sana2Γ3
Ushauri wa kitabibuππimekaa kisomi sana
ππππNi rahisi sana kumgundua muda wake wa kwenda kuchukua dawa ukikaribia.