GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena tutakuwa Mabingwa.
Hakika wana Simba SC nyie mlie tu kwani pamoja na kwamba wana Yanga SC tuna Madeni ila tunasajili tu Vyuma.
Hakika wana Simba SC nyie mlie tu kwani pamoja na kwamba wana Yanga SC tuna Madeni ila tunasajili tu Vyuma.