Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

Huwa naambia watu Genta sio shabiki wa Simba wanakataa. Haya Sasa.
 
Kweli tatizo la afya ya akili ni kubwa sana
 
we kazi unaimalizaje?
 
Huyu jamaa ni chizi hata mtoto mdogo hawezi kufanya huu ujinga, Popoma anapitia changamoto za kiakili maana huu ni ukichaa
 
,
 
Yanga hawawezi kuifunga Simba 4-0 au 3-0 kwasababu wakifunga magoli mawili tu wataanza kupiga visigino, kanzu na mbwembwe nyingine nyingi. Wachezaji wa Yanga wakishangiliwa sana huwa wanachanganyikiwa wanaanza kufanya mambo ya ajabu.
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ