Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tatizo la afya ya akili ni kubwa sanaTanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
Ni shabiki anaefata upepo ulivyo...Huwa naambia watu Genta sio shabiki wa Simba wanakataa. Haya Sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf mjitokeze mtuombe msamaha members huku, mlimpa tuzo huyu kichaa!
Hahhhhhhhhhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana ID 200 na alishinda kwa kura 200.
Huyu kama CCM, hatumtaki lkn kura zinaonyesha kashinda
we kazi unaimalizaje?Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
,Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana ID 200 na alishinda kwa kura 200.
Huyu kama CCM, hatumtaki lkn kura zinaonyesha kashinda
😅😅😅😅😅Jf mjitokeze mtuombe msamaha members huku, mlimpa tuzo huyu kichaa!
AahàaaaaaUzuri mdomo wako haujawahi kutabiri kitu kikatimia....
Hyo mechi iache ina wenyewe...
Ni kweliYanga hawawezi kuifunga Simba 4-0 au 3-0 kwasababu wakifunga magoli mawili tu wataanza kupiga visigino, kanzu na mbwembwe nyingine nyingi. Wachezaji wa Yanga wakishangiliwa sana huwa wanachanganyikiwa wanaanza kufanya mambo ya ajabu.