Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa?
CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo.
Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu.
Ole Sendeka na wenzako acheni kubeep.