Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?