Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.

Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.

Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?

Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?

Hii ni Ripoti ya wazi kwa jamii sio Chadema. Mimi na wewe ndiyo tunatakiwa kuongea sio kusubiria Chama ! Hili ndilo Tatizo kubwa Chadema sio wasemaji wa kila mtu ni chama cha siasa😂😂. Tukinyamaza na kusubiri chama ni makosa wananchi waache uvivu na mazoea. Usiongelee miaka iliyopita maana mambo yanabadilika. Chadema wamesha mtuma mtaalamu wao kuongea sasa tunataka nini!
 
Usijitoe kwenye mada. Umesahau mlivyokuwa mkipiga mayowe?
Analysis huwa inaanzia bungeni, Chadema iko bungeni? Practically kuna bunge la chama kimoja.
Na je kuna majukwaa huru ya vyama vya siasa kuongea kwa uhuru?
Unapenda mashindano, face reality first...!!
Otherwise unapenda tu kuandika andika kuhusu siasa hususan za upinzani, lakini hauna content ambayo inaweza kumjenga mtu.
Its somekind of satanic behaviour😊😊.
70-80 percent ya watanzania wanaumia sana na hali ya maisha na taratibu za nchi hii. Imagine hata Dar, jiji kabisa hata maji tu bado raia wanashindwa kuweka majumbani na kutumia kwa uhuru, wananunua maji ya madumu(huu ni mfano mdogo tu)
 
Kelele zinzpigwa kwa faida ya nchi ili kodi zetu zisitumike vibaya Ajabu unalikuta liboya wala haliusiki na upigaji lkn linatetea na kuchukia mafisadi wakipigiwa kelele... hawa ndio ma-Abambamba wasojielewa watoto wa wakubwa wananenepeana wewe unashobokea upuuzi huku njaa ikikutafuna ww na nduguzo!!
Kiinglishi wanasemaga styupidi nanisensi!!
 
Back
Top Bottom