Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Hii ni Ripoti ya wazi kwa jamii sio Chadema. Mimi na wewe ndiyo tunatakiwa kuongea sio kusubiria Chama ! Hili ndilo Tatizo kubwa Chadema sio wasemaji wa kila mtu ni chama cha siasa😂😂. Tukinyamaza na kusubiri chama ni makosa wananchi waache uvivu na mazoea. Usiongelee miaka iliyopita maana mambo yanabadilika. Chadema wamesha mtuma mtaalamu wao kuongea sasa tunataka nini!