Tunaihitaji kujijenga Chama na kutibu majeraha yaliyosababishwa na maharamia wa democrasia,punde Chama kitapona kabisa na Kila kituo kitapata Kasi mara kumi zaidi ya Kasi ya awališ¤Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Ccm ni chaka la majiziWakishapiga kelele yatafanyiwa kazi? Report ya CAG imekuwa ikipotezewa licha ya madudu yanayoibuliwa. Si ccm si upinzani wale wale
Jiwe hadi sasa hatujui 1.5trillion alizifanyia niniMlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Hawa walituchelewesha sana kimaendeleo. Bora wakae hivyo hivyo kimya watatuharibia. Si unaona CAG kasema wametumia milioni 9 kinyume cha utaratibu? Yaani milioni 9 zote wametumia tu? Milioni 9????Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za Atcl na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Maana ya siku hazigandi,siku hazigandi,sio Kila siku juma mosiLeo wezi wa CCM mnawalilia CHADEMA wawasaidie kupiga kelele juu ya wizi wenu?
Wanaopiga kelele sio wana CCM. Ni yale mafuasi ya mwendazake....Leo wezi wa CCM mnawalilia CHADEMA wawasaidie kupiga kelele juu ya wizi wenu?
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Acha kupotosha,maana ni kuwa kama weye wa tembele,usilazimishe mchuzi wa kuku.kusema hivyo haimaanishi ni ruhusa ya kuiba ili uweze kupata mchuzi wa kukuš¤Mama kashatuambia tule kwa urefu wa kamba.
Sisi ni nani hata tumpinge?
Nani kama mama?
Mama endelea kuupiga mwingi. Sisi tutakupa mitano tena, utake usitake.
Usinipangie cha kuandikaAcha kupotosha,maana ni kuwa kama weye wa tembele,usilazimishe mchuzi wa kuku.kusema hivyo haimaanishi ni ruhusa ya kuiba ili uweze kupata mchuzi wa kukuš¤
Hiyo kazi tumewaachia ccm. Wao si ndiyo wapinzani. Au huwaoni kina Mpina?Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Sijakupangia,ila kinachofika hapa jukwaani,usitunyime kudadavuašUsinipangie cha kuandika