Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

Usijitoe kwenye mada. Umesahau mlivyokuwa mkipiga mayowe?
"Umeahau" wapi nilipopiga yowe?
No place nime decalre kuwa nikonchama fulani.
Nime comment kama mwananchi wa kawaida.

But narudi pale pale? Hizo yowe ziliwasaidia nini? serikali ilichukua hatua gani?
 
Ndumilakuwili wa matumbo yao tu hao, kama ulikuwa hujui ni heri tu ungejishughulisha na viinua uchumi wako kuliko siasa za Bongo.
 
JPM si hayupo tena
 
Bila CHADEMA ninyi hamuwezi pigia kelele hiyo Ripoti!?

Si mpige kelele kwamba CAG kasema Chadema wamekula Mil 9 halafu mama yenu ataupiga mwingiiii

Mmechanganyikiwa.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yaani baada ya kujua kuna wanaume walijifungua hata hamu ya kujadili ikaishia hapo,hata ungekuwa wewe nguvu ungeitoa wap ??Tanzania hii watu wanasiri sana yaan wanaume wanajifungua huko hata hamsemi

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
inawezekana mtoa mada ni mmojawapo ya wanaume waliojifungua
 
Act wameiona
 
"Umeahau" wapi nilipopiga yowe?
No place nime decalre kuwa nikonchama fulani.
Nime comment kama mwananchi wa kawaida.

But narudi pale pale? Hizo yowe ziliwasaidia nini? serikali ilichukua hatua gani?
Hujui?
 
Naona unaongelea milion 9 za chadema, vipi zile milion za ccm???
 
Wanaopiga kelele sio wana CCM. Ni yale mafuasi ya mwendazake....
Kwamba mwendazake alikuwa siyo ccm?

Na kwmaba huu upigaji wasio wasio wafuasi wa mwendazake hauwahusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…