Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

Kutokana na ripoti ya CAG, wanaume wa CCM si mlifaidika na bima za kike za uzazi zitolewazo na NHIF!? Mnataka nini tena wakati mlikwisha kujifungua?
 
Kutokana na ripoti ya CAG, wanaume wa CCM si mlifaidika na bima za kike za uzazi zitolewazo na NHIF!? Mnataka nini tena wakati mlikwisha kujifungua?
Acha hasira.
 
Nani kakwambia hao chadema wanachukizwa na ufisadi? Hao ndio walimchukua fisadi na kumpa nafasi ya kugombea urais kwenye chama chao sasa hao utasema wanachukizwa na ufisadi?

Kipindi cha Magu walipigia kelele ufisadi kwa sababu tu hawakumpenda Magu hivyo walikuwa wakimchafua na si kwamba walikuwa wanakosoa, sasa hivi Magu hayupo waanze kupiga kelele za ufisadi ili iweje?
 
Kwa Elimu yako. Ulicho andika hapa umesaidia Taifa kwa lipi? Kama siyo kuongeza wajinga Tz!!!
 
I see?
 
Wapinzani wanatuchelewesha, kila kitu wanapinga, hata hii report ya CAG wanaipinga ndio maana wapo kimya.
 

Tumewaachia nyie wa chama cha dhalimu mpige kelele.
 
Ufisadi huo wa kipindi Cha bwana yule, hiyo kampuni haijatajwa, lakini Ni kampuni yake bwana yule
 
Ndumilakuwili wa matumbo yao tu hao, kama ulikuwa hujui ni heri tu ungejishughulisha na viinua uchumi wako kuliko siasa za Bongo.
Angalia ufisadi aliofanya mungu wenu wa sukuma gani,Tena kupitia kampuni yake nasikia ndio ilipewa kandarasi
🔨👇

 
Wapige kelele wapi si bungeni mpo nyie sasa hivi tena mmeanza unafiki mnawamiss walio kua wanachelewesha maendeleo ...kweli nyiieni makopo ya chooni ...
Kipindi kile mnavyopiga kelele za upotevu wa 1.5 t mlikuwa bungeni!!?? Au na nyie mpo kwenye pay roll ya utawala huu??
 
Bunge lenu la kijani tupu kazi yake ni nini?
 
Wewe darasa la memkwa acha kelele ccm wametumia mamia ya mamilion kifisadi au hujasoma hiyo taarifa[emoji850]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…