WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.

Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu.

Harakati za kisiasa bila common sense.

Ona wenzetu.
πŸ‘‡
 
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.

Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu.

Harakati za kisiasa Mpuuzi wa CCM ww
 
Hebu soma ulichoandika Kisha uniambie wewe ni WA chadema ipi! Ninakuonya Kila siku kuwa hiyo project Yako imeshafeli kabla hujaianza!
Acha kujifanya mwanacdm na Kama una ujasiri tukutane mtaa wa ufipa ujitambulishe! Unaandika kifedhuli na kipumbavu TU kana kwamba unaijua Sana cdm ilihali unalitumikia tumbo lako! Tukutane Hai 2025.
 
Wewe uvccm inakuwaje unawashwa sana na mambo ya Chadema? Nyie endeleeni tu na operesheni panyaroad kuongeza mapato ya chama kwa maandalizi ya 2025
 

Addo Shaibu huyu aliyedhalilishwa bungeni?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…