WanaCHADEMA tukubali kukosoana. Kama pesa zinatafunwa tuseme ukweli sio kutimuana

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
CHADEMA Mkoa wa Morogoro kimemfukuza uanachama aliyekuwa kada wao, Dkt. Alabanie Marcossy kwa makosa ya kukiuka kanuni, sheria na maadili ya chama hicho.
Hivi karibuni Dkt. Marcossy alitoa waraka wake akidai kuwa, kuna matumizi ya fedha na madeni nje ya mfumo wa chama cha CHADEMA
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 
Kw
Nadhani wata solve hili tatizo, maana lipo ngazi ya Chini. Hilo sio kosa la kufukuzwa chamani. Tafadhali, huyu mtu wa muhimu Sana. Very intelligent tusimpoteze.
Kwa vile ashatoa siri ya utafunwaji wa fedha za chama basi usitegemee huyo kamanda kurudishwa.
Huko utafunwaji wa fedha za chama zikiwemo ruzuku na makato ya wabunge huwa ni siri ya mwenyekiti na genge lake.
Akitokea mtu mwingine nje ya genge akatoa siri hiyo ni lazima afukuzwe kabla hajaja kujua siri nyingine na kuzianika hadharani kama hivi.
 
Mungu ampiganie aisee
Tanzania bado kuna safari ndefu ya kupata upinzani wa kweli. Maana waliopo sasa wanapigania matumbo yao na ya familia zao, tena siku hizi wanaonesha dhahiri kwa kwenda ikulu kila mara kulamba asali, mara kusema bila aibu tena kwa kujiamini kuwa washawakimbizia watoto wao Marekani wakaombe uraia wa huko huku wakiwahadaa watoto wa maskini kuwa wanawapambania.
Yani upuuzi mtupu.
 
Hakika taarifa zifike tu
 
Yaan sijui nao wamechoka mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…