WanaCHADEMA tukubali kukosoana. Kama pesa zinatafunwa tuseme ukweli sio kutimuana

WanaCHADEMA tukubali kukosoana. Kama pesa zinatafunwa tuseme ukweli sio kutimuana

Chama pia kina mambo yake ya ndani. Kuchukua dola haizuii kupishana kauli ndani ya chama. Mbona CCM juzi tu hapa walimsimamisha uanavhama kinana. Na Leo ndio Makamu Mwenyekiti. Haya mambo yapo.
Kinana alisimamishwa uanachama na kikao gani?Tupe ushahidi wacha ku justify ujinga wako.Lete ushahidi.
 
CHADEMA Mkoa wa Morogoro kimemfukuza uanachama aliyekuwa kada wao, Dkt. Alabanie Marcossy kwa makosa ya kukiuka kanuni, sheria na maadili ya chama hicho.
Hivi karibuni Dkt. Marcossy alitoa waraka wake akidai kuwa, kuna matumizi ya fedha na madeni nje ya mfumo wa chama cha CHADEMA
😀😃😃
View attachment 2467325
View attachment 2467326
Chadema Chama Cha kudeka kwa Mama, hawana emotional intelligence yenye stability kuhimili mawimbi ya kisiasa, ni Chama Cha Wachaga, Familia ya Mtei na Mbowe.
 
Huyu doctor kafukuzwa hapana. Mbona ndio tulimsubiri kuwa Katibu Mkuu wa chama. Sio habari nzuri hizi.
Ndio ujue Mbowe au mchaga hana masihara kwenye suala fursa(pesa) 😂
 
Mshaanza kulamba asali mnaelewa kitu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom