WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.

👇
1000005685.jpg
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.
👇View attachment 2833424
Kwa akili zako unadhani Baba yake Sabaya atahukumiwa kwa matendo yake maovu ya Sabaya?? Ndivyo akili zinavyokutuma na ndio maana umetutumka ukidhani Baba yake asingestahili mbele ya jamii.

Wasiojulikana mna mawazo ya ajabu.

Baba hana kosa kwa watanzania, mwanaye ameshatumimia Karma yake.
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.
👇View attachment 2833424
Acha kuweweseka na kuwawazia Chadema muda wote. By the way, mimi ni Mtanzania tu Mzalendo nisiye na chama.
Ila nimegundua Chadema wanakunyima usingizi kupitia hili bandiko lako.
 
Back
Top Bottom