Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mpaka waje kuacha harakati na kuanza kufanya siasa ndio makasiriko yataisha....Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.
WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.
Hii nayo imewapa mashaka.
👇View attachment 2833424
mie sidhani hata kama wanafaahumu maana, kusudi na malengo ya chama cha siasa. Sina hakika...
Coz let face it,
me naona wako nnje ya malengo kabsaa...
Hawaonyeshi kua mbdala wa chochote..
huwa najiuliza hii kulalamika itakufikisha wap, kukasirika au kuzira na kususa itakupeleka wapi?
hii kuita wanainchi wajinga, hawajielewi kwasabb wanaunga mkono chama ingine, yaani ndio unadhani itakupa credit kweli? sio ndio unaharibu taswira ya chama chenu kabisa kwa wananchi?
Jana yule kiongozi mukubwa wa kutumwa na mabwenyenye wa huko ng'ambo anabeza viongozi wa dini waliopo, ati kuna kiongozi wa dini moja tu ndio mahiri na eti waanze kutafuta viongozi wa dini wa aina ya huyo anaefaa...
Sasa nikajiuliza hawa waliopo kama hawafai wafanyweje?
Na hao wa kutafutwa watafutwa wap? Hapa si ni kujipalia makaa tu...
Inatia huruma sana Tz kukosa vibrant opposition