WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.

[emoji116]View attachment 2833424
Hoja ya kipuuzi kuliko zote mwaka huu.
Yaani Ccm sijui ina okota wapi hawa wajinga. Hivi wewe kwa akili zako matope unaweza kumsifia Sabaya kwamba alifanya siasa au alikuwa mbaka siasa??
 
Kwa mtu yoyote mwenye "sober mind" na anayechukia ujambazi wa kutumia silaha za moto, utekaji, ubakaji, kukatwa viungo vya mwili , uporaji wa fedha za wananchi kwa njia ya kificho au wazi wazi.

Hawezi kufurahishwa na huyu jambazi kuwepo mtaani hadi sasa, ila kwa kuwa mahakama zina watumishi wa kuteuliwa na CCM hatushangai maana majambazi mengi yako nje kama Karamagi, Chenge, Lugola
 
Ita wenzio majambazi wakati wanakugongea mke wako huku wakiitwa bby 🤣

Acha umbumbumbu wewe ngedere
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.

👇View attachment 2833424
Yaani aliyofanya hai kweli ndo unaita kudhibiti kisiasa.kuua kuteka .kulawiti watu .sabaya kaacha vilema hai .Leo ww baba wa familia unaeamkaga asubuhi kumuomba mungu awalinde wanao wapendwa ambaye ndiye mungu huyo huyo wa vilewa wa uchaguzi hai.watu walikatwq hadi masikio kwa mikono yake na sabaya.leo unamsifu eti aliDHIBITI na serious usikute unaingiaga kanisani
 
Attachments

  • Screenshot_20231205-201241_Chrome.jpg
    Screenshot_20231205-201241_Chrome.jpg
    160.1 KB · Views: 1
Ita wenzio majambazi wakati wanakugongea mke wako huku wakiitwa bby 🤣

Acha umbumbumbu wewe ngedere
Kwa akili zako huwezi hata ku-comprehend nilichoandika.

Hapo nimetaja majambazi ya awamu tofauti tofauti sasa wewe unaleta story nje ya mada.

Shule ni muhimu sana rudi hujachelewa uchawa wa buku 7 utakusaidia nini?
 
Kama huwezi kuwahurumia wale walioteswa na kuporwa mali zao na Sabaya na wengine kupewa kilema cha maisha basi wewe ni mtu ambae unaishi kwa bahati mbaya sana ktk hii karne ya 21! Ulitakiwa uwe uliishia karne ya 7 na sio zaidi ya hapo!
Hakika
 
Tumechoka, saizi tutagawana majengo tu.
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kwa njia gani? halali au haramu?

Nasubiri jibu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Alimdhibiti, hiyo inatosha. Mbowe mwenyewe ni haramu kaweka irrigation kwenye vyanzo vya maji mlimani, kagawa mashamba ya KNCU. Usisahau aliajiri makomandoo watatu waende kumuua ole Sabaya?
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.

👇View attachment 2833424

Kwani akirudi kuna kipya gani? Alirudi Makondeko mwenye record za kimataifa itakuwa huyu mbuzi? Mrudisheni tu maisha yataendelea tu hamna kipya Tz. Mabadiliko yatakujaga wajinga wakipungua na sio kizazi hiki kwa Tz, watabadilisha mambo wajukuu zetu kwa sasa tuendelee na uchawa tu. Tusubiri 50+ years
 
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.

WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.

Hii nayo imewapa mashaka.

[emoji116]View attachment 2833424
Hakuna aliyemdhibiti mbowe zaidi ya Wizi wa kura alioufanya Rais Mwendazake
na kwa kuwa MUNGU ni FUNDI yupo wapi Mwendazake na huyo SABAYA atalipwa kwa Uovu wa Matendo yake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom