Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.
WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.
Hii nayo imewapa mashaka.
[emoji116]View attachment 2833424
Jangili na kubwa la maadui …..
OLE Sabaya hakuwatesa wapinzani peke yao …bali wote …