WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.

Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.

Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
 
stupid burger!
 
Aisee nakuelewa sana kamanda.
 

Umerudi kwa kasi sana
 
Ulimuona wapi analamba?Nikajua umepona kichaa chako kumbe bado upo tu.Unatakiwa upelekwe "Milembe Resorts" ukapumzike.
 
Hivi weye mchovu,ulikuwa unatawa na kujipaka mafuta ya nazi uwe mwororo?Siku nyingi haujaandika manyangalakata yako.Au ulienda kuwasalimia wakwe zako upande wa mumeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…