Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #41
Mbowe anavuruga mchakato wa kupambana dhidi ya CCMKwahiyo mkuu hapa Tanzania tumtegemee Mh. Mbowe tu ndo atupiganie? Kule Bungeni waliopo wabunge wengi vile hawawezi kufanya kazi ya kuwatetea wananchi?
Au unadhani Mh. Mbowe yeye hachoki kuwatetea wananchi ambao ni sawa na maiti. Wewe Kama mwananchi unatakaiwa utambue haki zako na wajibu wa serikali yako kwanza kabla ya kumtegemea mtu yeyeto kuja kusimama kwa niaba yako.