WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.

Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.

Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Maneno ya mdangaji.!
 
Amelamba asali wapi,kwani kulamba asali kosa.Mf we unaasali yako home ukalamba tatizo lipo wapi?
 
Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.

Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.

Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Ulitaka akurambe wewe?
 
Wengi akina nani mkuu

Sema wewe kama ni CDM simpendi Mboye

Mambo ya kukoclude watu wote hawampendi bila utafiti unawakosea Wanye chama chaos au hata wewe

Na tukisema hata WanaCCM wengu hatunpendi SAMIA yatachukuliwa kama ninkweli

Hapana sio kweliii
 
Back
Top Bottom