Walalamikie wanaogawa asali ambayo ndo kodi yako.Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.