PreGE2025 WanaCHADEMA wengi hawana kadi za kupigia kura au hawapigi kura kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
To the point.

Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA.

Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale mbeya na Iringa na research yang niliikamilisha nilipofika Mwanza kipindi cha uchaguzi wa 2015 nikagundua kuwa makamanda wengi na ama niseme wanachama na mashabiki wa CHADEMA huwa hawana KADI za KUPIGIA KURA.

Mwaka huu nimerudia Tena kufanya kiutafiti kidogo tu Jana na Juzi nimekuwa nikiwauliza vijana ikiwa walijiandikisha kupiga kura mwaka Jana au mwaka huu na au pia kufaham ikiwa walishiriki 2015 na 2020
Majibu yapo hivi.

Vijana 6 Kati ya 10 wanaoshabikia CHADEMA hawana KADI na hawaziwazii hata kidogo ... Huku walau vijana 3 huwa wanaenda kupiga kula .

Ila vijana 8 Kati ya 10 wanaoshabikia CCM huwa Wana KADI na 6 Kati yao wanasisitiza kuwa huwa wanaenda kupiga kura .

Sasa wazee. Technically Mnadhani marekebisho kulingana na hoja sita alizozitoa mh. Lisu yatakapo fanyika na CHADEMA ikarudi ukingoni . Je, waiga kura kwa CHADEMA WAPO ????
 
Moderator Paw Active naomba msaada nisaidie kurekebishiwa kichwa pale .... WANACHADEMA WENGI huwa HAWANA KADI za (** MPIGA KURA*) na ama huwa (*HAWAPIGI KURA)
 
To the point.

Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA.

Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale mbeya na Iringa na research yang niliikamilisha nilipofika Mwanza kipindi cha uchaguzi wa 2015 nikagundua kuwa makamanda wengi na ama niseme wanachama na mashabiki wa CHADEMA huwa hawana KADI za KUPIGIA KURA.

Mwaka huu nimerudia Tena kufanya kiutafiti kidogo tu Jana na Juzi nimekuwa nikiwauliza vijana ikiwa walijiandikisha kupiga kura mwaka Jana au mwaka huu na au pia kufaham ikiwa walishiriki 2015 na 2020
Majibu yapo hivi.

Vijana 6 Kati ya 10 wanaoshabikia CHADEMA hawana KADI na hawaziwazii hata kidogo ... Huku walau vijana 3 huwa wanaenda kupiga kula .

Ila vijana 8 Kati ya 10 wanaoshabikia CCM huwa Wana KADI na 6 Kati yao wanasisitiza kuwa huwa wanaenda kupiga kura .

Sasa wazee. Technically Mnadhani marekebisho kulingana na hoja sita alizozitoa mh. Lisu yatakapo fanyika na CHADEMA ikarudi ukingoni . Je, waiga kura kwa CHADEMA WAPO ????
Jidanganye
 
Back
Top Bottom