CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu.
Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna miundo mbinu mbovu sana ,
Tatu kikao Cha mtandao inatumika kama njia ya kudhibiti mjadala kwani siyo rahisi mwanachama kutoa hoja kutokana na mazingira ya kubanwa na ukilinganisha wananchama hawana uelewa kuhus
u mabadiliko ya katiba ,
Sasa hivi hamna cha Dodoma ni nyumbani kwako nunua nando jiunge libe huna basi subiri maamuzi ya chama.
Wanafikiri Mungu hayupo na wanafikiri hizo ni story tu za vitabu vitakatifu tu kwamba Farao alipigwa mapigo saba na Mwenyezi Mungu.CCM inapitia wakati mgumu kuliko hata Tundu Lissu aliyepo mahabusu, Chama kimepigwa na dhoruba, tena dhoruba kutoka ndani mwake, mawimbi yanakiyumbisha na hii ni wazi nahodha amekosa udhibiti........ngoja tuone watakuja na maamuzi gani.
Chama kinahitaji maombi tuzidi kuombaCCM inapitia wakati mgumu kuliko hata Tundu Lissu aliyepo mahabusu, Chama kimepigwa na dhoruba, tena dhoruba kutoka ndani mwake, mawimbi yanakiyumbisha na hii ni wazi nahodha amekosa udhibiti........ngoja tuone watakuja na maamuzi gani.