Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Duuh..
Hebu ihifadhi hiyo R.I.P kwa matumizi ya baadae..Nimeshafanya mpango wa jinsi mtakavyojulishwa siku yangu ikiwadia.
Tafuta hata marafiki wajue hili
Huwa najiuliza watu wanaenda wapi? wanavuma halafu wanapotea.
Acha uoga...tupo wa kukulia![/QU
Hahahaa.
Hii kitu tunajua ipo na haikwepeki ila hakuna anayetaka kuamini kuwa soon jina lake litaanza na marehemu.
Mi naamini bado nipo nipo sana tu maana taifa bado linanihitaji. LOL.
Pdidy unajuaje kama mimi ndiye nitakayetangulia.Mod :
Mpeni DIAMOND KABISA
HUYU SIKUYAKE YA MWISHO LAZIMA NIHAKIKISHE ANAAGWA KWA HESHIMA ZOTE WALAHI PALE LEADERS ANA UJUMBE MZURI SANA
Pdidy unajuaje kama mimi ndiye nitakayetangulia.
Hebu toa wosia wako kabisa ukitangulia wewe watu tusipate shida.
Kama una mali utataka kuwaachia yatima na wajane ukiniandikia mimi zitawafikia walengwa bila shaka.
Mimi mnanifahamu kweli?
Mhh hata mi niki RIP sijui nani atawaambia...
Mhh hata mi niki RIP sijui nani atawaambia...
Mhh hata mi niki RIP sijui nani atawaambia...
Leaders club wameona bonge la dili kwa misiba ya wasanii!Hakiamungu queen
kama utaniwahi ntamakesure leaders yako nasikia baada ya wasanii kuagwa mara kwa mara sasa wameamua kuweka meneja kabisa wa uwanja ukifika mnamalizana nae loh
Kwa sasa kuna jamaa zangu wanaojua kuwa mimi ndiye Queenkami wa JF.
Kwa hiyo ikitokea mtajua tu.
wewe aga kabisa hapa! usijekurudishwa huko!
Na aakikishe Bado anapokea mafao PSPF asitupeshida kylipia leaders CLUB last respect