Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

R.I.P charminglady Ila embu nifanyie hisani,najua nikifa mtakusanyika pamoja na kujichangisha ili kufanikisha shughuli ya kunirestisha in peace, sasa kwa kuwa nami nimewekeza PPF na kwamba nikifa watagharamikia gharama za mazishi mnaonaje hiyo michango yenu mkanipa advance niitumie na itakayobaki iwasaidie vinywaji na chakula siku ya shughuli?
 
Last edited by a moderator:
Tafuta hata marafiki wajue hili

Huwa najiuliza watu wanaenda wapi? wanavuma halafu wanapotea.

Kwa sasa kuna jamaa zangu wanaojua kuwa mimi ndiye Queenkami wa JF.
Kwa hiyo ikitokea mtajua tu.
 
Acha uoga...tupo wa kukulia![/QU

Hahahaa.
Hii kitu tunajua ipo na haikwepeki ila hakuna anayetaka kuamini kuwa soon jina lake litaanza na marehemu.
Mi naamini bado nipo nipo sana tu maana taifa bado linanihitaji. LOL.
 
Mod :
Mpeni DIAMOND KABISA
HUYU SIKUYAKE YA MWISHO LAZIMA NIHAKIKISHE ANAAGWA KWA HESHIMA ZOTE WALAHI PALE LEADERS ANA UJUMBE MZURI SANA
Pdidy unajuaje kama mimi ndiye nitakayetangulia.
Hebu toa wosia wako kabisa ukitangulia wewe watu tusipate shida.
Kama una mali utataka kuwaachia yatima na wajane ukiniandikia mimi zitawafikia walengwa bila shaka.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread inavyoendelea itaua marehemu watarajiwa wakiwa hai .....
 
Pdidy unajuaje kama mimi ndiye nitakayetangulia.
Hebu toa wosia wako kabisa ukitangulia wewe watu tusipate shida.
Kama una mali utataka kuwaachia yatima na wajane ukiniandikia mimi zitawafikia walengwa bila shaka.

Haaahaaaa SUPER QUEEN ILE GUEST YANGU YA KIBORILONI

REST IN PEACE LODGE UTAONGOZA WEWE 10PER YA JF ACHA UTANI SIKIA KILIO KWA MWENZAKO
 
Last edited by a moderator:
Hakiamungu queen

kama utaniwahi ntamakesure leaders yako nasikia baada ya wasanii kuagwa mara kwa mara sasa wameamua kuweka meneja kabisa wa uwanja ukifika mnamalizana nae loh
 
Hakiamungu queen

kama utaniwahi ntamakesure leaders yako nasikia baada ya wasanii kuagwa mara kwa mara sasa wameamua kuweka meneja kabisa wa uwanja ukifika mnamalizana nae loh
Leaders club wameona bonge la dili kwa misiba ya wasanii!
Lol.!
 
Back
Top Bottom