Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Inabidi tuanze kua na secret friend ambaye utampa details zako zote ikiwa ni pamoja na adress,namba za cm,unapoishi kila kitu na umuandike kwy wosia kwamba mtu huyu apigiwe simu atoe taarifa JF!
 
Huyo wa stendi kuna siku eti aliuliza itatoke nn iwapo utaweza kuyashka na kuyazuia mapanga ya chopa ikiwa angani..? Je body ya chopa itazunguka... Duuuuh hapo nilimpa shikamoo zake..
Akaja uliza eti aliechora raman ya dunia alikuaa kakaa wapi kipindi anachora...
Hahaha, K 4 LIFE aliuliza kama ndege inapigq reverse na kama ina side mirrors.
 
Huyo wa stendi kuna siku eti aliuliza itatoke nn iwapo utaweza kuyashka na kuyazuia mapanga ya chopa ikiwa angani..? Je body ya chopa itazunguka... Duuuuh hapo nilimpa shikamoo zake..
Akaja uliza eti aliechora raman ya dunia alikuaa kakaa wapi kipindi anachora...
Duh! Hayo maswali ya wastend nimeyapenda
 
Hahaaa mimi wa stendi ni tofauti sana na huyo k4!na tena nadhani siku mkinijua asilimia kubwa hamtaamini kama ni mimi maana mimi niwa kawaida sana hadi najishaangaa hivi ni mimi???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom