Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Inabidi tuanze kua na secret friend ambaye utampa details zako zote ikiwa ni pamoja na adress,namba za cm,unapoishi kila kitu na umuandike kwy wosia kwamba mtu huyu apigiwe simu atoe taarifa JF!
 
Nyie somen kwa bidii na muumize vichwa , mkiskia kuna mmoja kafariki nishtue nije nikapige zangu mchele.
 
Hahaha, K 4 LIFE aliuliza kama ndege inapigq reverse na kama ina side mirrors.
 
Duh! Hayo maswali ya wastend nimeyapenda
 
Hahaaa mimi wa stendi ni tofauti sana na huyo k4!na tena nadhani siku mkinijua asilimia kubwa hamtaamini kama ni mimi maana mimi niwa kawaida sana hadi najishaangaa hivi ni mimi???[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…