Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Ni kweli humu unaweza jibishana na baba mkwe au baba mwenye nyumba bila kujua
 
Nimesukumwa kuanzisha uzi huu ili tuweze kuwajua wenzetu waliotangulia/wanaotangulia mbele za haki kwa wale mnaofahamiana. Marehemu walikuwa kama sisi tu humu,wakielimisha,kuburudisha n.k lakini kwa sasa wamerudi mavumbini. Bahati mbaya wengine hatufahamiani kabisa physically,binafsi sina ninayemjua humu hivyo hata nikifa sio rahisi kupata habari zangu hivyo likitokea tutakutana Mbinguni kwa Baba.
Hivyo kwa wale mmnaojuana,ni vema mkawa mnatupa taarifa ili tuweze kuwaombea wenzetu katika sala zetu za kila siku. Mpaka sasa,kwa kumbukumbu zangu inaonyesha wanaJF wafuatao wameishafariki kadiri ya habari zinavyoripotiwa humu😔
1.Fasi Dwasi
2.Dena Amsi
3.Straton Mushi
4.Kennedy Lufulondama

Najua kuna wengine zaidi,tujuze humu...Mungu awalaze mahali pema peponi...Amina
 

Folk alifariki kimasikhara maskhara tu. Alinihuzunisha kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aseee.. very sad,ilizibithishwa alikufa?anaitwa folk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…