Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Hata mie nilisikia hvyo, alikufa kwa majambazi, alikua anafanya biashara kkoo.
[emoji24][emoji24][emoji24]

Nimeshtuka na kuogopa jamani. Apumzike kwa amani [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…