Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mwenyewe huwa nawaza, mbona yupo kimyaaa na alipotea kipindi kile cha naniliu....BAK yupo kweli au alibadili ID?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe huwa nawaza, mbona yupo kimyaaa na alipotea kipindi kile cha naniliu....BAK yupo kweli au alibadili ID?
Weee ni kijana hovyo mkuuVitumbua Kama vitumbua 😂, Sio nyash 🤣
Hii chawa utasubiri sana bado inadunda.R.I.P lucas mwashambwa
Bado tu? Tired of waitingMi nikikaribia kuondoka ntawajulisha.
Dah! Mwanangu Tulikuwa Tunataniana Sana Kwenye Jukwaa La Usiku Wa Manane.
R.I.P Iceman 3D
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nizeeke!😇Bado upo, msalimie wa ng'ombe 😄
Agreed! Muda ukifika mmoja wetu ataleta taarifa.Usiondoke bila mimi na wewe kujuana...
Hahaha, kumbe huja angalia varshita?!! 😄Mpaka nizeeke!😇
Hmmm...ni nani huyo?
Usimchulie ndugu yetu chawa shanta shanta Lucas MwashambwaR.I.P lucas mwashambwa
Mara ya mwisho niliona anachangia thread fulan after kifo cha jiwe baada ya hapo akabakia BUBU ATAKA KUSEMAMwenyewe huwa nawaza, mbona yupo kimyaaa na alipotea kipindi kile cha naniliu....
Mimi nitajua mkuu😀Sisi wengine tukifa itakuwa vigumu sana kwa watu kujua humu.
😢Ice man amefariki???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hata mie nilisikia hvyo, alikufa kwa majambazi, alikua anafanya biashara kkoo.Ice man amefariki???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hata mie nilisikia hvyo, alikufa kwa majambazi, alikua anafanya biashara kkoo.
[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata mie nilisikia hvyo, alikufa kwa majambazi, alikua anafanya biashara kkoo.
[emoji24][emoji24][emoji24]
Ben au ?Mwenyewe huwa nawaza, mbona yupo kimyaaa na alipotea kipindi kile cha naniliu....
Acha utaniPumzika kwa amani @Mama Debora
Kabisa apate pumziko jema, [emoji120][emoji120]Nimeshtuka na kuogopa jamani. Apumzike kwa amani [emoji120][emoji120]