Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

mi hata familia yangu haijui kama nimo jf, ngoja nitafute rafiki ajue hata ninapoishi....very touching thread...rip to all waliotutangulia
 


................
 
 
Humu ndani wengi tumekutana na tumejuana, sasa kwa wengine sijui. Kuna mtu anaitwa MWANAHAKI amealzwa sana pale Tumaini hospitali. Leo hii amefanyiwa Leo amefanyiwa SKIN GRFT SURGERY hapo KCMS. TUmuweke kwenye maombi na wale wote mlioko MOSHI ebu kamsalimieni kama mnapata muda.

Mwenye kupenda kwenda huko anaweza nitext ili nimpatie namba ya simu. Namba yangu 0655 447788. Tujuliane hali kwenye shida

MUNGU AWABARIKI SANA.

CD
 
RIP Baruthi (baba mkwe).
gOOSH!...Pole sana.
I knew this guy very much!...alikuwa mhasibu professionally, so alipita ofisini kwangu mara kadha kwa kazi moja mbili!
Hoja zake zilikuwa zimesimama sana, na alikuwa akitumia utaalamu wake kusupport hoja!
Anyway, naamini somewhere inlife we gonna see these friends!
 
PAW akitutoka naamini taarifa zitafika kwenu hakika, na wengine sherehe...

Ama kwa hakika inatia huzuni kubwa kwa wenzetu waliotutangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe sehemu salama Amin

JF ni zaidi ya familia.
 
Too bad!
Mungu msaidie mtu huyu apone mapema iwezekanavyo!
 
 
PAW akitutoka naamini taarifa zitafika kwenu hakika, na wengine sherehe... Ama kwa hakika inatia huzuni kubwa kwa wenzetu waliotutangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe sehemu salama Amin JF ni zaidi ya familia.
red: mawazo yako si sahihi hata kidogo! Hata jambazi akifa watu wa ukoo wake wanasikitika!... Wewe ni mtumishi mkuu, na hata wanaokulaumu, huwa wanaku'admire sana kwa kazi yako!
 

hata mim huwa najiulizaga kumuhusu,natumaini ni mzima maana huwezijua.
 

pole kwa kukukumbusha machungu.Mwanga wa milele umulikie mpendwa wetu,amina.
 

maelezo yako yanasikitisha,pole BAK.RIP mpendwa wetu Rafiki wa islam,Mungu akupe mwanga wa milele huko uliko.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

umeongea vizuri sana ashadii
 

badi sijaelewa ulivyomjua.Ila pole kwa kupoteza rafiki.
 

mpe pole sana,mwambie ktk maombo yangu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…