Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Nilisikia za chini chini aliuwawa na majambazi alikuwa mfanyabiashara maarufu hapo K/koo!

Dah!! Huyu kijana alikua mtani wangu sana, huwa tunabishana sana kwenye soka, yeye na cr7 humwambii kitu asee. Dah, kila nafsi itaonja umauti
 
Acha Kabisaa it was hard!!![emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]so hard
Mungu ampe pumziko amekufa kijana mdogo Sana Tena mnoo!!!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pengine kuna Members walikuwa active lakini siku na siku zikazidi kwenda tukakosa kuwaona humu jukwaani R.I.P. Kwao walio kutwa na matatizo ikapelekea kutangulia mbele za haki.

Tangu Jf imeanzishwa hadi sasa tuseme REST IN PEACE na Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi Amen.
 
Back
Top Bottom