TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza jamii.
Sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kidogo kwamba kuwe na utaratibu maalumu wakuwapata wanachama, yeyote anayetaka kuwa mfuasi wa chama fulani cha siasa ajaze fomu maalum ya kuomba uanacha either kwa njia ya mtandao ama moja kwa moja, kisha watapewa mafunzo maalumu ya itikadi ya chama pamoja na misingi ya kitaifa katika siasa safi, na wafanye mtihani baada ya hapo na wale watakao faulu vema ndio waidhinishwe baada ya ripoti kwenda kwa msajili wa vyama vya siasa na kurudishwa kama imepita.
Katika siasa ya kisasa ni kwamba tunahitaji watu wenye upeo mkubwa ndio wafanye siasa maana hao ndio watakao pata ridhaa ya kuliongoza taifa na jamii kwa ujumla, lakini kwa sasa yeyote yule anaweza kuwa mwanachama wa chama na baadae kuteuliwa kuwa kiongozi bila kujali uwezo wake,yaani anapewa kama favour tu.
katika mazingira ya siasa za namna ii tusitegemee kuwa na taifa lenye Dira ama Maono,tutaendelea kuwa na mambumbumbu ambayo kazi yao kubwa ni kusifu na kusema ndio.