Hao vijana walio kamatwa kwa kuchakata biscuits na bangii Wana kituu.. ubunifu huo hakukuwa na haja ya kuwapa kesi hao ni innovator waangaliwe kwa jicho la mama na mtoto.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na kilogramu 6,007 na lita 153 za kemikali bashirifu katika operesheni zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini na Jumla ya watuhumiwa 89 walikamatwa kuhusiana na uhalifu huo.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Aretas Lyimo amesema, Katika operesheni Walizozifanya Septemba na Oktobawamefanya na eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, watuhumiwa Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari (26), Novatus A. Kileo (26) na Chriss P. Mandoza (26) walikamatwa wakitengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya house party ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Zipo sana hizi ( imekuwa kama fashion siku hizi ) vijawama wanazidi kuharibika aisee. Kuna uchafu wa mkubwa sana kwa hizo house party, unakuta wanawake 15 alafu wazuri kweli kweli na wanaume watano (5)Izo House Party wanafanyia wp
Tulia na bebe yako mzee ππIzo House Party wanafanyia wp
Mie nilikuwa na demu wangu mmoja wa kiarabu, alikuwa anakula hizo biscuits za bangi kama anaramba sukari. Serikali hizo nguvu ingezitumia ku deal na watekajiHao vijana walio kamatwa kwa kuchakata biscuits na bangii Wana kituu.. ubunifu huo hakukuwa na haja ya kuwapa kesi hao ni innovator waangaliwe kwa jicho la mama na mtoto.
Kuna bwana mdogo nimemzidi miaka mitano dogo tulikua ni marafiki tangu udogoni dogo kwa Sasa ni ENG. Kwenye IT
Dogo alikua mtundu mtundu sana sanaa..kaharibu sana TV na redio za kwao enzi zile TV zilikua zina hesabika Tanzania nzima.
Ila naamini kipaji chochote ni kikilea na kukiwezesha Haina haja hao Vijana kupelekwa gerezani zaidi ni kuonywa na kusamehewa warudi kwenye masomo Yao PENGINE wakaja kuwa wachemia wakubwa
Hizo biscuits mbona zipo kibao jombaa, hamna ubunifu hapo na nyingine zinatoka S.A.Hao vijana walio kamatwa kwa kuchakata biscuits na bangii Wana kituu.. ubunifu huo hakukuwa na haja ya kuwapa kesi hao ni innovator waangaliwe kwa jicho la mama na mtoto.
Kuna bwana mdogo nimemzidi miaka mitano dogo tulikua ni marafiki tangu udogoni dogo kwa Sasa ni ENG. Kwenye IT
Dogo alikua mtundu mtundu sana sanaa..kaharibu sana TV na redio za kwao enzi zile TV zilikua zina hesabika Tanzania nzima.
Ila naamini kipaji chochote ni kikilea na kukiwezesha Haina haja hao Vijana kupelekwa gerezani zaidi ni kuonywa na kusamehewa warudi kwenye masomo Yao PENGINE wakaja kuwa wachemia wakubwa
Sawa zipo ila vijana wamekamatwa wakitengeneza huoni wamefanya ubunifu japo wa ku copy na ku paste..Hizo biscuits mbona zipo kibao jombaa, hamna ubunifu hapo na nyingine zinatoka S.A.
Izo biskuti zina KILEVI? Am curious mwenye uzoefuu atuambie zina Radha gani na Zina stimu gani?Mie nilikuwa na demu wangu mmoja wa kiarabu, alikuwa anakula hizo biscuits za bangi kama anaramba sukari. Serikali hizo nguvu ingezitumia ku deal na watekaji
Mie sikuwa nakula, ila manzi ilikuwa inazipiga sana. Nikawa nikimuuliza anasema tamu na zipo fresh ila anakuwa kama amevuta bangi indirect wayIzo biskuti zina KILEVI? Am curious mwenye uzoefuu atuambie zina Radha gani na Zina stimu gani?
Ila πππ
Kwanini hukuonja?Mie sikuwa nakula, ila manzi ilikuwa inazipiga sana. Nikawa nikimuuliza anasema tamu na zipo fresh ila anakuwa kama amevuta bangi indirect way
Dah,..unakuta wanawake 15 alafu wazuri kweli kweli na wanaume watano (5)
π π bora nyumba iwe na mvuta bangi mmoja kuliko wavutaji wawili aise.. Mie sijabarikiwa kuwa mpenzi wa kilevi aina yoyote au kivuto cha aina yoyote mzee. Ila wanaopiga mambo hayo siwashangai piaKwanini hukuonja?
Mbona wanatangaza sana hizo mkuu. Mala nyingi huwa mwisho wa wiki. Mie nili attend moja udom kwenye mambo yangu ya kusaidia jamii na ushauri. Kuna vijana wafanya laana waweza hisi upo Las Vegas kumbe upo Dom πHapo kila mwamba anajipigia 4some tu.
Location tafadhali
Bora uende mwenyewe, ila siku ukisikia demu wako kaenda hesabu 11-0.Izo House Party wanafanyia wp
Hawa madogo wachafu sana hawaBora uende mwenyewe, ila siku ukisikia demu wako kaenda hesabu 11-0.
Kuna kiingilio? Ngoja nifanye utafitiZipo sana hizi ( imekuwa kama fashion siku hizi ) vijawama wanazidi kuharibika aisee. Kuna uchafu wa mkubwa sana kwa hizo house party, unakuta wanawake 15 alafu wazuri kweli kweli na wanaume watano (5)
πππKama hujawai kutumia KILEVI chochote basi hujawai KUISHIπ π bora nyumba iwe na mvuta bangi mmoja kuliko wavutaji wawili aise.. Mie sijabarikiwa kuwa mpenzi wa kilevi aina yoyote au kivuto cha aina yoyote mzee. Ila wanaopiga mambo hayo siwashangai pia