Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

Sawa zipo ila vijana wamekamatwa wakitengeneza huoni wamefanya ubunifu japo wa ku copy na ku paste..

Hakuna haja ya kupelekwa gerezani hao wasamehewe na waruhusiwe waendelee na masomo Yao

At least wamethubutu...TUNA MA ENGINEER HAWAWEZII HATA KUTENGENEZA MOTOR ZA DYNAMOS
Daah mzee hamna ubunifu hapo aisee, huenda haupo kwenye hiyo sekta ndio maana unaona ni kitu cha ajabu.
 
Haya ndio mambo wasomi wa Tz wanaweza kuyafanya, imagine na wale vilaza wa standard 7 na form 4 failure watakuwaje.

Hili taifa tutapata tabu sana kuyafikia maendeleo maana hata walio na majukumu ya kuchochea maendeleo wanaendekeza upumbavu.

Serikali ikifeli haya ndio matokeo yake, maadili kuporomoka, vijana kujiunga na makundi ya hovyo huku hakuna wa kuyakemea, hawa kaka zao wa humu mitandaoni nao takataka kabisa wanaunga mkono huu ushenzi wa wadogo zao.

Nchi imeoza
Lawama nyingi for years ndio imekua kauli mbiu kwenu.

Mkilaumu wengine mtoe na way za KUTATUA sio makelele na lawama zisizo na tija.

NB.
Ni ajabu mtu anaandika ukurasa mzima wa lawama halafu anaishia kusema ‘serikali ifanye kitu’ – wewe umefanya nini?.
 
Daah mzee hamna ubunifu hapo aisee, huenda haupo kwenye hiyo sekta ndio maana unaona ni kitu cha ajabu.
Sasa kaka.. Kuna haja gani ya kuwafunga hao vijana gerezani huoni kua wangepewa semina elekezii watambue madhara na hasara za wanacho kifanya then wakaendelea na masomo Yao ya chuo kikuu.

Huo ni mtazamo wangu kuliko kuwa n'gan'gania kwa hiyo kesi ya kurutubisha bangi na ngano kuwa kuwa biscuit 🍪
 
That's a crime bro, acha kupaka mafuta uhalifu.

Ni sawa na wale wanaotengeneza bunduki kienyeji na kuzitumia kufanya uhalifu.
 
Yote ni makosa ya jinai Joh
Mfano Abdul angekutwa na KOSA kama Hilo angesamehewa?!

MWANAO ULIE MZAA ANGEKUTWA NA KOSA KAMA HILO UNGEFURAHIA AFUNGWE..

AU MWANAO PEKEE WA KIUME AMPE MIMBA MWANAFUNZI..HAUTO MTOROSHAA...AU UTAMPELEKA AKAFUNGWE MIAKA 30
 
Hao vijana sio waharifu walikua kwenye harakati ya ku modify bangi kuwa biscuit japo ni copy &paste wange pewa nafasi ingine na kuelekezwa vyema wangekua mabalozi wema kwa vijana wengine
Kwahiyo ukimodify mavi kuwa Biskuti nayo itakuwa ni sahihi?!
Hawa ndio wajinga ambao wanahalalisha ujinga Mpaka uzikumbe familia zao ndipo akili inarudi
 
Kwahiyo ukimodify mavi kuwa Biskuti nayo itakuwa ni sahihi?!
Kaka humu ndani Kuna watu Huwa niki comment ama wao wakikoment Huwa tunapitana kimya kimya..

NB.
Mambo ya kubadilisha mavi kuwa biskuti yaache kwa wachawi, sisi tunaongea na watu wenye akili timamu.😊
 
Mfano Abdul angekutwa na KOSA kama Hilo angesamehewa?!

MWANAO ULIE MZAA ANGEKUTWA NA KOSA KAMA HILO UNGEFURAHIA AFUNGWE..

AU MWANAO PEKEE WA KIUME AMPE MIMBA MWANAFUNZI..HAUTO MTOROSHAA...AU UTAMPELEKA AKAFUNGWE MIAKA 30
Haijalishi ni mwanangu au sio mwanangu, akifanya kosa haibadilishi kua kafanya kosa hata nimtoroshe haisafishi kosa lake ni vile kila mtu hupenda mtu ampendae asipatwe na maswahibu.
 
Kama hamtaki kutupa connection ya hizo house party basi tufundisheni kutengeneza hizo biscuits
 
Back
Top Bottom