Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

Hao vijana walio kamatwa kwa kuchakata biscuits na bangii Wana kituu.. ubunifu huo hakukuwa na haja ya kuwapa kesi hao ni innovator waangaliwe kwa jicho la mama na mtoto.

Kuna bwana mdogo nimemzidi miaka mitano dogo tulikua ni marafiki tangu udogoni dogo kwa Sasa ni ENG. Kwenye IT

Dogo alikua mtundu mtundu sana sanaa..kaharibu sana TV na redio za kwao enzi zile TV zilikua zina hesabika Tanzania nzima.

Ila naamini kipaji chochote ni kikilea na kukiwezesha Haina haja hao Vijana kupelekwa gerezani zaidi ni kuonywa na kusamehewa warudi kwenye masomo Yao PENGINE wakaja kuwa wachemia wakubwa
Kwahiyo waarifu wote waangizwe zaidi ktk kuboresha uharifu wao?!
 
Haya ndio mambo wasomi wa Tz wanaweza kuyafanya, imagine na wale vilaza wa standard 7 na form 4 failure watakuwaje.

Hili taifa tutapata tabu sana kuyafikia maendeleo maana hata walio na majukumu ya kuchochea maendeleo wanaendekeza upumbavu.

Serikali ikifeli haya ndio matokeo yake, maadili kuporomoka, vijana kujiunga na makundi ya hovyo huku hakuna wa kuyakemea, hawa kaka zao wa humu mitandaoni nao takataka kabisa wanaunga mkono huu ushenzi wa wadogo zao.

Nchi imeoza
 
Back
Top Bottom