Wanachuo Watiwa Mbaroni Kwa Kutengeza Biskuti Za Bangi, Kwa Ajili Ya HouseParty Za WanaVYUO

Kwahiyo waarifu wote waangizwe zaidi ktk kuboresha uharifu wao?!
 
Haya ndio mambo wasomi wa Tz wanaweza kuyafanya, imagine na wale vilaza wa standard 7 na form 4 failure watakuwaje.

Hili taifa tutapata tabu sana kuyafikia maendeleo maana hata walio na majukumu ya kuchochea maendeleo wanaendekeza upumbavu.

Serikali ikifeli haya ndio matokeo yake, maadili kuporomoka, vijana kujiunga na makundi ya hovyo huku hakuna wa kuyakemea, hawa kaka zao wa humu mitandaoni nao takataka kabisa wanaunga mkono huu ushenzi wa wadogo zao.

Nchi imeoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…