Wanadasalama hizi Travolta Shoes ,nazipataje ? Niko Mkoani.

Wanadasalama hizi Travolta Shoes ,nazipataje ? Niko Mkoani.

IMG-20230408-WA0003.jpg

Mad Max code zake ni sweta au koti za leather au jeans during winter. Wakati wa jua kali kama una body nzuri unavalia shati white libane mwili vizuri.
 
Gusia basi aina ya shati na suruali..
Suruali ni cadets, kuhusu shati bas iwe ya mikono mirefu uvalie na koti hasa Yale official,

Au unaweza vaa form 6 na cadets, ukitaka kuvaa T-shirt bas valia jeans plain, afu upatie na koti, aaaah ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Yule kaka alikua anawakaa bhanaa, na nilikua namkubalii kinoumaa.
 
Kunae mkaka akat tuko chuo, alikua anavaa hizi travoz zilikua zinamtoaa hatariii. Na code dress alikua anapatia haswaaa.

Hizi travoz ujue na code dress yake, Co unajivalia tyuh utachekesha mtaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi pia sisi watu wa Sarawili mita moja hazifai
Kama ni kistuli travoo inabidi uione kama ukoma
 
Hizi pia sisi watu wa Sarawili mita moja hazifai
Kama ni kistuli travoo inabidi uione kama ukoma
Haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wafupii hizi sio zao, woiiiiih
 
Tuma pesa laki 3 nikutumie pair 2 brown na black, ni vizuri original kutoka Oklahoma city, USA 😃😃😃
 
Back
Top Bottom