Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

..hawakuwa wakibebwa na Mwalimu Nyerere?

..Watanzania wanaoweza kuwa Katibu Mkuu UN ni wale waliolelewa kitaaluma ndani ya mashirika ya kimataifa kama UN, WB, IMF, Commonwealth Secretariat, etc.

Mwalimu protected and loved him very much. He was one of his trusted students
 
Hivi kwani Kila anayefuzu ushushu si anachukuliwa kama mwanadiplomacia ,,,Najua ubobezi na mambo ingine(swali Hilo plz)
 
UPDATE
Asante sana mama Samia, kwa tamko lako la kuirudishia Tanzania umaarufu uliokuwa nao kidiplomasia.
Nakushukuru Mama Samia kwa kuwa msikivu, kwa michango chanya kwa Taifa.
 
1697200957123.png

Mama ameona mbali kwa kuitazama wizara hii ambayo inaweza kuwa na mchango mkubwa kulisaidia Taifa kiuchumi.
 
Back
Top Bottom