Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
ππππππππππKwa Mahiga na Salim Ahmed uko 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππKwa Mahiga na Salim Ahmed uko 100%
Inasikitisha sana.Wajanja wamevuruga career pathways ili kuchomeka watu wao. Ubalozi kwa mfano umekuwa kwa kiasi kikubwa ni zawadi au "kaa mbali" badala kupanda ngazi.
Mwalimu wanted the right people to be active in taking decisions and actions. Alimlinda Salim toka akiwa mdogo maana kule kwao, mbabe wa mapinduzi alikuwa na allergy na hawa wasomi wa enzi zile...Rais wa Tz ndiye mwanadiplomasia namba wani.
..Sasa Rais akipwaya na akiwa hana maono kama mwanadiplomasia basi hawa wa chini yake mwanapwaya.
..Hivi unafikiri Salim Salim angefanya kazi ktk awamu ya Magufuli angejulikana kwa kiwango alichofikia?
Mkuu Rais kweli ni diplomat no 1 katika nchi yoyote...Rais wa Tz ndiye mwanadiplomasia namba wani.
..Sasa Rais akipwaya na akiwa hana maono kama mwanadiplomasia basi hawa wa chini yake mwanapwaya.
..Hivi unafikiri Salim Salim angefanya kazi ktk awamu ya Magufuli angejulikana kwa kiwango alichofikia?
Mkuu Rais kweli ni diplomat no 1 katika nchi yoyote.
Lakini yeye Rais anapimwa kwa vigezo tofauti kabisa na vingi sana.
Rsis hatachaguliwa kwa vile kawapatanisha A na B, bali mustakabali wa maisha ya waliomchagua kuwa imeboreka na maisha ni mazuri zaidi.
Mwalimu wanted the right people to be active in taking decisions and actions. Alimlinda Salim toka akiwa mdogo maana kule kwao, mbabe wa mapinduzi alikuwa na allergy na hawa wasomi wa enzi zile.
Na Salim hakumuangusha Mwalimu. It is sad, baadae wasaka tonge wakamletea mambo ya hovyo kabisa ili asiweze kuwa Rais. Na kwakweli haya yanayoendelea...tunavuna tuliyopanda.
Maana inaweza kutokea siku hata mbumbumbu mzungu wa reli akatwaa jackport bingo kama haya mambo ya kusukuma watoto, marafiki na wapendwa wetu ambao wengine hawana sifa kabisa za uongozi, yataendelea hivi
Wakati mwingine diplomasia ina mapungufu yake...Msielekeze lawama zote kwa genge la wanamtandao.
..Yeye Salim Salim alishindwa nini kujitetea ili kulinda hheshima na rekodi yake?
..Kuna taarifa kwamba Mzee Mkapa alimtaka Salim Salim arejee nchini awe Makamu wa Rais baada ya Dr.Omari Ali Juma kufariki.
..Sasa inasemekana Salim Salim alisita kufanya hivyo. Lakini kama angekubali maana yake yeye ndiye angekuwa na nafasi kubwa kumrithi Mzee Mkapa.
..Katika mazingira hayo hivi mnaweza kuwashushia lawama wanamtandao kwa asilimia 100?
NB:
..kule UN wakati aligombea kuwa Katibu Mkuu alipewa nafasi ya kwenda kumshawishi Balozi wa Marekani UN, lakini hakutumia nafasi hiyo. Sasa alipopigiwa kura ya VETO mtawalaumu Wamarekani?
Cc Nguruvi3, Pascal Mayalla
Wakati mwingine diplomasia ina mapungufu yake.
Mtu ukiwa too diplomatic, unachukuliwa kama weakness.
Siasa za nchi zetu hizi kuchimbana kwingi sana.
Salim A, Salim hakutegemea kuwa wenzake serikalini wamfitini kwa habari za kumchafua.
Hili vile vile lilitokea kwa Prof Mwandosya kwa kuenezewa habari kuwa amekula rushwa kwa kusomeshewa mtoto wate chuo kikuu South Africa.
Hizi ni dhambi za mtandao zilizoharibu moja ndani ya chama na kwa watu kama Salim Ahmed Salim alijiondoa kabisa kutoka local politics.

Watu wengine yaani mtu anakurupuka kujibu hata aelewi hivi ni wapi nimeandika au kuhusianisha na nchi za nje au Kenya.Hakuna Rais asiyefanya kazi na wanaompinga......
Mabunge yote duniani huendeshwa kwa ADA NA KAWAIDA ya siasa za nchi yao.....
Kutaka kuyafananisha mabunge ya nchi zote nao huo ni UCHIZI.....
Siasa za Tanzania zinaendana na msingi wa taifa hili....unatakaje tuendeshe siasa kwa msingi wa KENYA ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kubebwa kwa vipi tena?
Kuwa trained ,yes.
Mwanadiplomasia mbonevu anapikwa na kupikika.
Wainhereza wanasema a diplomat is a foreign service officer sent to lie gracefully for his country.
In so doing anaiokoa nchi yake kimahusiano na nchi nyingine.
Mimi nitaliweka tofauti...Mimi naiona kama ni weakness kwa upande wa Salim Salim kushindwa kuwashughulikia kwa hoja watu waliokuwa wakimchafua.
..Kwa maoni yangu amezidiwa na watu wadogo kama Tundu Lissu, Mdude Nyagali, na wengine ambao wamefanyiwa mambo mabaya sana lakini hawakujikunyata na kusalimu amri kwa watesi wao.
Anao sasa huo uwezo wa kuelewa!!??Hao makatili wanaokandamiza Uhuru wa watu wa Sahrawi!
Enzi za hao Magwiji wa Diplomasia msimamo wetu ulikuwa kulitambua taifa la Sahrawi na kupinga ukandamizaji wa Morocco kwa taifa hilo.
Sasa Wanadiplomasia uchwara wa sasa wameongwa msikiti na Ujenzi wa Uwanja wa soka Dodoma wanabadilisha msimamo wa nchi.
Soma mada uelewa vizuri Sheikh!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tuimne sifa za watu waliolitumikia Taifa kabla hawajspotea.Mimi nitaliweka tofauti.
Salim Ahmed Salim alikuwa na bado ni mtu wa intergrity.
Ame sustain moral high ground na hakushuka kuwa level moja na waliomchafua.
Leo hata akikaa meza moja na waliomchafua , Salim anajitokeza kama mtu muungwana sana.
Heshima ya Balozi Salim Ahmed Salim haijawahi kutetereka, he is a living legend.
..Msielekeze lawama zote kwa genge la wanamtandao.
..Yeye Salim Salim alishindwa nini kujitetea ili kulinda hheshima na rekodi yake?
..Kuna taarifa kwamba Mzee Mkapa alimtaka Salim Salim arejee nchini awe Makamu wa Rais baada ya Dr.Omari Ali Juma kufariki.
..Sasa inasemekana Salim Salim alisita kufanya hivyo. Lakini kama angekubali maana yake yeye ndiye angekuwa na nafasi kubwa kumrithi Mzee Mkapa.
..Katika mazingira hayo hivi mnaweza kuwashushia lawama wanamtandao kwa asilimia 100?
NB:
..kule UN wakati aligombea kuwa Katibu Mkuu alipewa nafasi ya kwenda kumshawishi Balozi wa Marekani UN, lakini hakutumia nafasi hiyo. Sasa alipopigiwa kura ya VETO mtawalaumu Wamarekani?
Cc Nguruvi3, Pascal Mayalla
Mimi nitaliweka tofauti.
Salim Ahmed Salim alikuwa na bado ni mtu wa intergrity.
Ame sustain moral high ground na hakushuka kuwa level moja na waliomchafua.
Leo hata akikaa meza moja na waliomchafua , Salim anajitokeza kama mtu muungwana sana.
Heshima ya Balozi Salim Ahmed Salim haijawahi kutetereka, he is a living legend.
View attachment 2770500
John Malecela
View attachment 2770491
Salim Ahmed Salim
View attachment 2770506
Mrisho Kikwete
View attachment 2770494
Balozi Mahiga
View attachment 2770515
Liberata Mulamula
View attachment 2770813
Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi)
View attachment 2771229
Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof)
Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla.
Kizazi hicho sasa kimeanza kutoweka kwa kasi.
Wana Diplomasia wanaoteuliwa sasa kuwa Mabalozi ni wale waliostaafu kazini na kiukweli hawana nguzu za kuendesha diplomasia kikamilifu.
Tulikuwa na Career Diplomats, Diplomats waliokulia, kufundishwa na kutekeleza kazi za kidiplomasia kwa weledi mkubwa.
Walikuwa wana uwezo wa kudiffuse diplomatic tiffs ktiya nchi na nchi, na kati ya nchi yetu na nchi nyingine duniani.
Hili limenijia kichwani baada ya sherehe ya juzi kumuenzi Dr Salim Ahmed Salim , mwana Diplomasia aliyebobea na kujulikana duniani pote.
Je leo tunaweza kupata mwana diplomasia mwenye CV utendaji na kuthubutu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UN auo Umoja wa Afrika?
Serikali ingefaa kuliona hili kwa uzito wake.
Tukusaidie vipi, maana ulivyo andika ni umbeya wenyewe!Napenda maarifa yako. Inasemekana aligoma pia kwa Nyerere kabla ya Nyerere kuwekeza kwa Mkapa. Inasemekana pia kulikuwa na kivuli fulani cha nguvu za Maalimu ambazo wakati ule ilikuwa ngumu kujua nani ni nani.
Shida ya sisi watanzania tunapenda sana umbea. Sijui kama haya yana ukweli au ni hadithi noo utamu kolea
Ha ha ha!Hawa hata kuitwa diplomats hawafai
1: Mulamula βββββββ
2: Anna Tibaijuka βββββββ