Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Kumtoa mkoloni ni kwepesi kuliko kuleta maendeleo mkoloni akiondoka
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Kumtoa mkoloni ni kwepesi kuliko kuleta maendeleo mkoloni akiondoka
Kunradhi mkuu, nimemuongeza kwenye wall of fame!
Unakosea kidogo....Hizi ni zama za kuibua na kukuza machawa, akina Mwijaku, Babalevo, Lucas mwashambwa, Maulidi Kitenge, n.k.
[emoji7]Kunradhi mkuu, nimemuongeza kwenye wall of fame!
[emoji15][emoji15][emoji15]Huyu angekua Makamu wakati wa Magufuli sijui nini kilitokea
"We are suffering from nepotism and applied Uchawa.Watu wa kufanya hizo kazi wapo ila kuna kakikundi ka watu kanaongozwa na Bwana Fulani ambaye yeye anajiona kuwa hii nchi ni yake,na ndiyo anaamua nani awe nani!View attachment 2770500
John Malecela
View attachment 2770491
Salim Ahmed Salim
View attachment 2770506
Mrisho Kikwete
View attachment 2770494
Balozi Mahiga
View attachment 2770515
Liberata Mulamula
View attachment 2770813
Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi)
Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla.
Kizazi hicho sasa kimeanza kutoweka kwa kasi.
Wana Diplomasia wanaoteuliwa sasa kuwa Mabalozi ni wale waliostaafu kazini na kiukweli hawana nguzu za kuendesha diplomasia kikamilifu.
Tulikuwa na Career Diplomats, Diplomats waliokulia, kufundishwa na kutekeleza kazi za kidiplomasia kwa weledi mkubwa.
Walikuwa wana uwezo wa kudiffuse diplomatic tiffs ktiya nchi na nchi, na kati ya nchi yetu na nchi nyingine duniani.
Hili limenijia kichwani baada ya sherehe ya juzi kumuenzi Dr Salim Ahmed Salim , mwana Diplomasia aliyebobea na kujulikana duniani pote.
Je leo tunaweza kupata mwana diplomasia mwenye CV utendaji na kuthubutu kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UN auo Umoja wa Afrika?
Serikali ingefaa kuliona hili kwa uzito wake.
Mpaka leo TUNASIKILIZWA...."We are suffering from nepotism and applied Uchawa.Watu wa kufanya hizo kazi wapo ila kuna kakikundi ka watu kanaongozwa na Bwana Fulani ambaye yeye anajiona kuwa hii nchi ni yake,na ndiyo anaamua nani awe nani!
Huyu Bwana na genge lake amefanya tuonekane sisi kuwa taifa la watu Wajinga tusiojielewa.Rejea kampeni za kusaka nafasi ya ugombea Urais ndani CCM jinsi alivyochafuliwa Mwanadiplomasia Nguli kuwai kutokea kwenye taifa letu Dr.Salim kisa anautaka Urais.Kile Kigenge ndiyo kimerudi sasa kwa mlango wa nyuma kikiongozwa na Bwana yule ambaye ana lundo la Watanzania wengi wanamuona mtu wa maana kumbe ndiyo muaribifu wa taifa letu kupitia vijana wake Wahuni anao lazimisha wapewe madaraka!
Ile heshima tuliyokuwa nayo kwenye majukwa ya kimataifa haipo;Tanzania ilikuwa ikizungumza Dunia inasikiliza kuwa tunasema nini!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Wapi uko unakosikilizwa na kwa Wanadiplomasia gani tulionao zaidi ya awa Machawa!!Mpaka leo TUNASIKILIZWA....
Wapi hatusikilizwi ?!![emoji15]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
....tumewasaidia Morocco kutofukuzwa UANACHAMA wa AU..Wapi uko unakosikilizwa na kwa Wanadiplomasia gani tulionao zaidi ya awa Machawa!!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]
Umeamua kuisigina Katiba ya JMT kumpendekeza Dr.Migiro angekuwa VP wa hayati JPM ama?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mzee unajichanganya na unanichanganya....Hapana mzee,Nasemea kile kinyanganyiro cha chama.angekua kwenye hari nzuri sana kichama mama Asha
🤣🤣🤣Hizi ni zama za kuibua na kukuza machawa, akina Mwijaku, Babalevo, Lucas mwashambwa, Maulidi Kitenge, n.k.
Hao makatili wanaokandamiza Uhuru wa watu wa Sahrawi!....tumewasaidia Morocco kutofukuzwa UANACHAMA wa AU..
Shukran zao unajionea mwenyewe....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haya mwarabu tumekuelewa yaa habibty......[emoji120][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Tb3t liyam ma3rft 9lbi, fin ghay wsselni
Bhitek lbar7 wlyum nsit, nbghik men jdid[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌Haya mwarabu tumekuelewa yaa habibty......[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umegusa la mantiki....Hao makatili wanaokandamiza Uhuru wa watu wa Sahrawi!
Enzi za hao Magwiji wa Diplomasia msimamo wetu ulikuwa kulitambua taifa la Sahrawi na kupinga ukandamizaji wa Morocco kwa taifa hilo.
Sasa Wanadiplomasia uchwara wa sasa wameongwa msikiti na Ujenzi wa Uwanja wa soka Dodoma wanabadilisha msimamo wa nchi.
Soma mada uelewa vizuri Sheikh!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sasa wakaze fuvu na wakati nafasi zenye stream za maokoto hazihitaji hiyo seriousness. Ukilamba watu miguu unafika mbali hata kama una uwezo hafifuNa watapotea sana... siku hizi huko chuo watoto hawasomi wapo busy na challenge za tiktok
Mwongo kama TUMBA MBICHI......mzalendo alikuwa Nyerere tu.
..wengine wote ni watu ambao hawajapata fursa ya kudonoa.
Ubalozi kwa Tz ni sehemu ya kuwatupia watovu wa nidhamu. Hakuna clear policy.View attachment 2770500