johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Fidia?Kuna umuhimu kwa familia za wahanga wote kulipwa fidia na serikali. Wangefuata taratibu sahihi za miaka yote za kuwaaga viongozi wa kitaifa, haya yote yasinge tokea.
Serikali kwa ujumla wake inahusika na ule uzembe wa kuruhusu maelfu ya watu kuingia uwanja wa Taifa, tena katika kipindi hiki ambacho tumekumbwa na janga la corona!Fidia?
Naomba ufafanuzi.
Watu wanatafuta sifa msibaniKuna umuhimu kwa familia za wahanga wote kulipwa fidia na serikali. Wangefuata taratibu sahihi za miaka yote za kuwaaga viongozi wa kitaifa, haya yote yasinge tokea.
Inasikitisha sana, poleni ndugu, jamaa na marafiki.Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara...
Bwashee umesoma hadi mwisho?SIO WATANO NI 6, mbona house girl hamumtaji?
Mzee Mgaya anasemaje kuhusu hivi vifo vya watu 6?Bwashee umesoma hadi mwisho?
Huenda wakawa wengi zaidi lakini who cares maisha ya makapukuSIO WATANO NI 6, mbona house girl hamumtaji?
Kweli mkuuHuenda wakawa wengi zaidi lakini who cares maisha ya makapuku
Kwani Tundu Lissu hajataja idadi?Huenda wakawa wengi zaidi lakini who cares maisha ya makapuku
Sio ujinga ndugu,hicho kifo sio cha kawaida kuna kitu kilikuwa kinamsukuma huyo mama aende huko tena na familia yote can u imagine?....muulize ndugu Mshana Jr sema hawez kuelezea hili anaogopa wanakijani watamvamiaa[emoji23]Huyu Mama alikua mjinga sana amesababisha watoto wafe kifo kibaya mno, na inaonekana walidondoka wote kwa pamoja na watu wakawalalia
Laiti serikali ingekuwa ya watu kwa ajili ya watu, PM alitakiwa ajiuzulu kwa hiari au kwa lazima, baada tu ya mazishi Chato.Serikali kwa ujumla wake inahusika na ule uzembe wa kuruhusu maelfu ya watu kuingia uwanja wa Taifa, tena katika kipindi hiki ambacho tumekumbwa na janga la corona!
Walitakiwa watu wachache tu kumuaga marehemu na watanzania wengine wangeambiwa wabakie majumbani mwao huku wakifuatilia hilo tukio kwenye luninga zao.
Jioni anatinga Mwanza kwa ndege kesho Geita kwenye Mazishi, hawezi kukosaMh. Mtemvu amekosa nauli ya kwenda Chato kweli????
Duh!Yule MTU tangu Enzi na mama yake wanatuhumiwa ' Kujua mengi'. Watu WA lake zone wanajua .Ipo hata habari kuwa makazi wanayoishi SASA waliyapata toka kufukuzwa baada ya kujulikana wanajua mengi ya kidunia.
Serikali kwa ujumla wake inahusika na ule uzembe wa kuruhusu maelfu ya watu kuingia uwanja wa Taifa, tena katika kipindi hiki ambacho tumekumbwa na janga la corona!
Walitakiwa watu wachache tu kumuaga marehemu na watanzania wengine wangeambiwa wabakie majumbani mwao huku wakifuatilia hilo tukio kwenye luninga zao.