tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Tunasubiria kauli ya pm anaweza kusema marehemu ni wazima wako wamepumzikaKwani Tundu Lissu hajataja idadi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiria kauli ya pm anaweza kusema marehemu ni wazima wako wamepumzikaKwani Tundu Lissu hajataja idadi?
Ajiuzulu kwasababu ya huu uzembe hebu muache majaliwa ana mambo mengi kuwajibika, hilo hata viongozi wengine walishindwa kuandaa utaratibu wa kwenda kumuona hayati JPM bila kuwa na msukumano bali kwa mstariLaiti serikali ingekuwa ya watu kwa ajili ya watu, PM alitakiwa ajiuzulu kwa hiari au kwa lazima, baada tu ya mazishi Chato.
Poleni sana nasikia na mbunge wa ubungo ndo hivo tena hatunae.Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara.
Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria ibada ya mazishi.
Mbunge wa Kibamba mh Mtemvu amesema leo alitakiwa kuwa Chato kwenye mazishi ya hayati Magufuli lakini ameahirisha ili aweze kushiriki msiba wa wapiga kura wake.
Imeelezwa Kanisani hapo hata yule house girl " dada" ambaye naye alikuwa hajulikani alipo naye amepatikana akiwa amekufa.
Hivyo jumla ya wanafamilia waliofariki katika tukio hilo ni 6.
RIP Magufuli
[emoji3]kuna mengi tutajuzana hebu tuupe muda wakatiSio ujinga ndugu,hicho kifo sio cha kawaida kuna kitu kilikuwa kinamsukuma huyo mama aende huko tena na familia yote can u imagine?....muulize ndugu Mshana Jr sema hawez kuelezea hili anaogopa wanakijani watamvamiaa[emoji23]
Rasmi waliotangazwa ni 45 ukijumlisha na huyo hg ni 46 lakini kuna watu wanasema ni zaidiSad! Nadhani waliopoteza maisha ni wengi sana, ukweli unafichwa.
wanaruka na ungo??Yule MTU tangu Enzi na mama yake wanatuhumiwa ' Kujua mengi'. Watu WA lake zone wanajua .Ipo hata habari kuwa makazi wanayoishi SASA waliyapata toka kufukuzwa baada ya kujulikana wanajua mengi ya kidunia.
Shida yako ni kutothamini house girl, habari imeeleza vizuri kwamba hata HG ambaye alikuwa haonekani kapatikana nae kafariki, wewe umeamua kutokusoma sehemu hiyo ya hg halafu unaleta unajifanya kusahihisha.SIO WATANO NI 6, mbona house girl hamumtaji?
Hapa wanaongelea familia moja iliyopoteza watu 6 kwa mpigo. Hawajaongelea wengine.Huenda wakawa wengi zaidi lakini who cares maisha ya makapuku
Amina mkuu
Yule ni kiongozi mkubwa anaenda kwa Kodi zetu, atalipiwa hotel na perdiem juu.Mh. Mtemvu amekosa nauli ya kwenda Chato kweli????
Ingekuwa serikali ya Magufuli, wazazi wangeozea jela kwa uzembeKwa kweli ni majonzi makubwa kwa familia iliyopoteza watoto watano wakati wa kuuwaga mwili wa Dr. Magufuli aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano na hivyo basi kama itapendeza itoe kifuta jasho kwa ile familia iliyopoteza watoto watano.