Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Ukikutana na kabila analotoka mtangazaji wa mpira BARAKA MPENJA na CDF mstaafu MBOMA wanaitwa WAMALILA utarudi hapa kuwaomba msamaha wakaguru

Kuhusu UKIMWI kama ulivyotanabaisha basi nadhani wakaguru watasubiri sana kwa hawa maana kamtu ka miaka ishirini kuwa na Wake hata watatu sio stori huku wote wanezaliwa na ngoma .

Oya ukitembea hapa bongo utachoka na watu wengine wanaoitwa watanzania

Sitaki kuwasema akina Nshomile nisije kula ban ila ipo siku nitasema tu
 
Duh umenikumbusha huko nlikuwaga na mradi fulani
Berega na idibo shuguli ilikuwa pevu
Hivi ile hospital ya wa Irish aid bado ipo

Ova
 
Mimi nilipata marafiki waluguru chuo, walikuwa wametulia sana, walinifanya niheshimu watu wa ukanda huo, kuna huyo mmoja aliacha ka bf kake kwao,mpaka tunamaliza hakuwahi kujihusisha na kijana hata mmoja! sasa hizi habari hapa duh!
Alikuwa swala 5?
 
Mimi nilipata marafiki waluguru chuo, walikuwa wametulia sana, walinifanya niheshimu watu wa ukanda huo, kuna huyo mmoja aliacha ka bf kake kwao,mpaka tunamaliza hakuwahi kujihusisha na kijana hata mmoja! sasa hizi habari hapa duh!
Nicheki
 
Hmm sidhani! watu kibao tu wanatoka kwao wamenyooka, wakifika chuo wanakuwa washenzi tu!
Kwa sababu hawakukuzwa kuwa huru kujifanyia maamuzi.

Kwa mfano mimi nilizoeshwa kujinunua mwenyewe vitu hata japo nilikuw napewa hela tangu nikiwa shule ya Msingi.
Nilikuwa nanunua sare za shule, viatu vya shule, namalizia kidato cha 6 utaratibu ulikuwa huo huo, hiyo hali ikanijengea hali ya kuwa na nidhamu ya pesa kiasi kwamba leo hii hata nikikutana fedha nyingi kiasi gani najua sitakiwi kuziendea kwa pupa.
Changamoto imekuja kipindi naanza ku date, unakutana na vidada vinapenda pesa halafu na mimi pesa zangu nazipenda zaidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…