Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

Usisahau kutaka na sifa ya ukarimu pia. Pia hapo kwenye uvivu na unapata hapana ni uongo
 
Kwamdasi, mduo sio sherehe ni kikao ambacho kinafanyika ili kumchangia kijana mahari kwaajili ya kwenda kuoa halafu kwenye uvivu sio bhn. Pia kuongea kilugha sio ukabila ila nikaelewa ni kwamba asilimia kubwa hawajui kiswahili hawana exposure though ndo maana wanajua kilugha tu basi
 
nimeishi nao na nawajua vizuri kuliko unavyofikiria
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitakupa iliyo tamu,
wala si kitunguu saumu,
natumai hutanilaumu.
Tamu haikinai πŸ˜‹
Hakika nitajidai 🫢
Nataka hiyo Sukari
Inifae maishani.
πŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈπŸ‘―β€β™‚οΈ
 
Lazima utajidai,
tamu sana kama chai,
nitakupaisha high,
kama yule ndege tai,
wewe ni wangu my πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Hivyo vijiji kuna watu wana fix sana unaweza wapelekea line ya kutengeneza pesa
Yaani wote mpate pesa ukiwachia advance imekula kwako,mtavutana mtashikana πŸ˜„ headache tu

Ova
 
Mh, wamekukosea Nini Hawa waTZ wenzetu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…